Ufunuo 7:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokofu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana Kondoo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wakapaza sauti: “Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa Mwanakondoo!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wakapaza sauti: “Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa Mwanakondoo!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wakapaza sauti: “Ukombozi wetu watoka kwa Mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa Mwanakondoo!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao walikuwa wakipaza sauti kwa nguvu, wakisema: “Wokovu una Mungu wetu, yeye aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao walikuwa wakipiga kelele kwa sauti kubwa wakisema: “Wokovu una Mungu wetu, yeye aketiye kwenye kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo!” Tazama sura |