Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na alipoifungua muhuri ya nne, nikasikia sauti ya nyama wa nne akisema, Njoo uone.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa nne. Nikamsikia yule kiumbe hai wa nne akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Alipouvunja ule muhuri wa nne, nikasikia sauti ya yule kiumbe wa nne mwenye uhai ikisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Alipovunja ile lakiri ya nne, nikasikia sauti ya yule kiumbe wa nne mwenye uhai ikisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 6:7
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakenda zao, wakalilinda sana kaburi, wakilitia lile jiwe muhuri, pamoja na wale askari walinzi.


Na nyama wa kwanza alikuwa mfano wa simba, na nyama wa pili mfano wa ndama, na nyama wa tatu mwenye nso kama uso wa Mwana Adamu, na nyama wa nne mfano wa tai arukae.


NIKAONA hapo Mwana Kondoo alipofungua moja ya zile muhuri, nikasikia mmoja wa wale nyama wenye uhayi akisema, kama sauti ya ngurumo, Njoo! uone.


Na alipofungua muhuri ya pili, nikamsikia nyama wa pili akisema, Njoo uone.


Na alipoifungua muhuri ya tatu nikamsikia nyama wa tatu mwenye uhayi akisema, Njoo, none. Nikaona, na tazama, farasi mweusi, na yeye aliyempanda ana mizani mkononi mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo