Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 6:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Na alipofungua muhuri ya pili, nikamsikia nyama wa pili akisema, Njoo uone.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Alipouvunja ule muhuri wa pili, nikamsikia yule kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Alipoivunja ile lakiri ya pili, nikamsikia yule kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 6:3
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakenda zao, wakalilinda sana kaburi, wakilitia lile jiwe muhuri, pamoja na wale askari walinzi.


Na nyama wa kwanza alikuwa mfano wa simba, na nyama wa pili mfano wa ndama, na nyama wa tatu mwenye nso kama uso wa Mwana Adamu, na nyama wa nne mfano wa tai arukae.


NIKAONA hapo Mwana Kondoo alipofungua moja ya zile muhuri, nikasikia mmoja wa wale nyama wenye uhayi akisema, kama sauti ya ngurumo, Njoo! uone.


HATTA alipofungua muhuri ya saba kukawa kimya mbinguni kama muda wa nussu ya saa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo