Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Na wafalme wa dunia, na wakuu, na matajiri, na majemadari, na wenye nguvu, na killa mtumwa, na mungwana, wakajificha katika pango za chini ya miamba ya milima,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kisha, wafalme wa duniani, wakuu, majemadari, matajiri, wenye nguvu, kila mtumwa na mtu huru, wakajificha mapangoni na kwenye miamba milimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kisha, wafalme wa duniani, wakuu, majemadari, matajiri, wenye nguvu, kila mtumwa na mtu huru, wakajificha mapangoni na kwenye miamba milimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kisha, wafalme wa duniani, wakuu, majemadari, matajiri, wenye nguvu, kila mtumwa na mtu huru, wakajificha mapangoni na kwenye miamba milimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 6:15
19 Marejeleo ya Msalaba  

(watu ambao ulimwengu haukustahili kuwa nao): walikuwa wakizungukazunguka katika nyika na katika milima na katika mapango na katika mashimo ya inchi.

wala nuru ya taa haitamulika ndani yako tena kabisa, wala sauti ya bwana arusi na bibi arusi haitasikiwa ndani yako tena kabisa; maana wafanyi biashara wako walikuwa wakuu wa inchi, kwa kuwa mataifa yote wamedanganywa kwa uchawi wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo