Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 6:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Mbingu zikaondolewa kaina ukarasa uliokunjwa, na killa mlima na kisiwa vikahamishwa katika mahali pake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 6:14
16 Marejeleo ya Msalaba  

Maana siku ya Bwana itakuja kama mwizi usiku; katika siku biyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na inchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.

Killa kisiwa kikakimbia, na milima haikuonekana tena.

Nikaona kiti eba enzi, cheupe, kikubwa, nae aketiye juu yake; inchi na mbingu zikakimbia nso wake, na mahali pao hapakuonekana.

NIKAONA mbingu mpya na inchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na inchi za kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo