Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 6:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 nyota zikaanguka juu ya inchi kama vile mtini upukutishavyo mapooza yake, utikiswapo na upepo mwingi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Nyota zilizo angani zikaanguka ardhini kama vile matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Nyota zilizo angani zikaanguka ardhini kama vile matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 6:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Marra baada ya shidda ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbingu zitatikisika:

na nyota za mbinguni zitakuwa zikianguka, na nguvu zilizo mbinguni zitatikisika.

Na kutakuwa ishara katika jua na mwezi na nyota: na katika inchi dhiiki ya mataifa, wakishangaa kwa uvumi wa bahari na msukosuko wake;

MALAIKA wa tano akapiga baragumu, nikaona nyota iliyotoka mbinguni, imeanguka juu ya inchi; akapewa ufunguo wa shimo la abuso.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo