Ufunuo 5:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Akaja, akakitwaa kitabu katika mkono wa kuume wake aliyeketi juu ya kiti kile cha enzi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwanakondoo akaenda, akakitwaa hicho kitabu kutoka mkono wa kulia wa yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwanakondoo akaenda, akakitwaa hicho kitabu kutoka mkono wa kulia wa yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwanakondoo akaenda, akakitwaa hicho kitabu kutoka mkono wa kulia wa yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Huyo Mwana-Kondoo akaja na kukitwaa kile kitabu kutoka mkono wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Huyo Mwana-Kondoo akaja na kukitwaa kile kitabu kutoka kwenye mkono wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi. Tazama sura |