Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifuugua kitabu na kukisoma, wala kukitazama.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Nikalia sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Nikalia sana sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 5:4
4 Marejeleo ya Msalaba  

BAADA ya haya naliona, na tazama mlango ukafunguka mbinguni, na sauti ya kwanza niliyoisikia kama sauti ya baragumu ikinena nami, ikisema, Panda hatta huku, nami nitakuonyesha mambo ambayo hayana buddi kuwa baada ya bayo.


Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya inchi, wala chini ya inchi, aliyeweza kukifunua kitabu wala kukitazama.


Na mmoja wa wale wazee akaniambia, Usilie, tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, shina la Daud, yeye amepata uwezo wa kukifunua kitabu na kuzivunja zile muhuri saba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo