Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Nikaona malaika mwenye nguvu akikhubiri kwa santi kuu, Nani astahiliye kukifungua kitabu na kuzivunja muhuri zake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, “Ni nani anayestahili kuivunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, akisema, “Ni nani anayestahili kuzivunja hizo lakiri na kukifungua kitabu?”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 5:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

NIKAONA malaika mwingine hodari akishuka kutoka mbinguni, amevikwa wingu; na upinde wa mvua juu ya kichwa chake: na uso wake kama jua, na miguu yake kama nguzo za moto.


Na malaika mmoja hodari akainua jiwe, kama jiwe kubwa la kusagia, akalitupa katika bahari, akisema, Hivi kwa nguvu nyingi utatupwa Babeli, mji ule mkuu, wala hautaonekana kabisa.


NIKAONA katika mkono wa kuume wa aliyeketi juu ya kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kimetiwa muhuri saba.


Na mmoja wa wale wazee akaniambia, Usilie, tazama, Simba aliye wa kabila ya Yuda, shina la Daud, yeye amepata uwezo wa kukifunua kitabu na kuzivunja zile muhuri saba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo