Ufunuo 5:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa killa kabila na lugha na jamaa na taifa, ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu: nao wanamiliki juu ya inchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Umewafanya ufalme wa makuhani wamtumikie Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wewe umewafanya hawa wawe ufalme na makuhani wa kumtumikia Mungu wetu, nao watatawala duniani.” Tazama sura |
Nikaona viti vya enzi, wakaketi juu yake, wakapewa hukumu: nikaona roho zao waliokatwa kichwa kwa ajili ya ushuhuda wa Yesu, na kwa ajili ya neno la Mungu, na hao wasiomsujudia nyama, wala sanamu yake, wala hawakuipokea alama yake katika vipaji vya nyuso zao, wala katika mikono yao; wakawa hayi, wakamiliki pamoja na Kristo miaka elfu.