Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 5:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 NIKAONA katika mkono wa kuume wa aliyeketi juu ya kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kimetiwa muhuri saba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kisha nikaona kitabu katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa kwa mihuri saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kisha nikaona kitabu katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa kwa mihuri saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kisha nikaona kitabu katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa kwa mihuri saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Kisha nikaona katika mkono wake wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, kitabu kilichoandikwa ndani na nje, kikiwa kimefungwa kwa mihuri saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Kisha nikaona katika mkono wake wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, kitabu kilichoandikwa ndani na upande wa nje, kikiwa kimefungwa kwa lakiri saba.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 5:1
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na katika mkono wake alikuwa na kitabu kidogo kimefunuliwa. Akaweka mguu wake wa kuume juu ya bahari, na wa kushoto juu ya inchi,


na yeye aliyeketi alikuwa mithili ya jiwe la yaspi na sardio, na upinde wa mvua nlikizunguka kiti kile cha enzi, mithili ya zumaridi.


Na hawa nyama wenye uhayi watakapompa yeye aketiye juu ya kiti cha enzi yeye aliye hayi hatta milele na milele ntukufu na heshima na shukrani,


Na killa kiumbe kilicho mbinguni na juu ya inchi na chini ya inchi na juu ya bahari, na vitu vyote vilivyo ndani yake, nalivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na una Mwana Kondoo hatta milele na milele.


Akaja, akakitwaa kitabu katika mkono wa kuume wake aliyeketi juu ya kiti kile cha enzi.


NIKAONA hapo Mwana Kondoo alipofungua moja ya zile muhuri, nikasikia mmoja wa wale nyama wenye uhayi akisema, kama sauti ya ngurumo, Njoo! uone.


wakaiambia milima na miamba, Tuangukieni, katusetirini, tusione uso wake aketiye juu ya kiti cha enzi wala hasira ya Mwana Kondoo.


HATTA alipofungua muhuri ya saba kukawa kimya mbinguni kama muda wa nussu ya saa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo