Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na nyama wa kwanza alikuwa mfano wa simba, na nyama wa pili mfano wa ndama, na nyama wa tatu mwenye nso kama uso wa Mwana Adamu, na nyama wa nne mfano wa tai arukae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Kiumbe wa kwanza alikuwa kama simba, wa pili kama ng'ombe, wa tatu alikuwa na sura ya mtu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Kiumbe wa kwanza alikuwa kama simba, wa pili kama ng'ombe, wa tatu alikuwa na sura ya mtu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Kiumbe wa kwanza alikuwa kama simba, wa pili kama ng'ombe, wa tatu alikuwa na sura ya mtu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kiumbe wa kwanza mwenye uhai alikuwa kama simba, wa pili alikuwa kama ng’ombe dume, wa tatu alikuwa na uso kama wa mwanadamu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kiumbe wa kwanza mwenye uhai alikuwa kama simba, wa pili alikuwa kama ng’ombe dume, wa tatu alikuwa na uso kama wa mwanadamu, na wa nne alikuwa kama tai anayeruka.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 4:7
20 Marejeleo ya Msalaba  

Ndugu, msiwe watoto katika akili zenu; illakini katika uovu mwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mwe watu wazima.

Na mliele ya kile kiti cha enzi, mfano wa bahari ya kioo eheupe, kama krustallo, na kati kati ya kile kiti cha enzi, na pande zote za kile kiti, nyama wane, wamejaa macho mbele na nyuma.

Na alipofungua muhuri ya pili, nikamsikia nyama wa pili akisema, Njoo uone.

Na alipoifungua muhuri ya tatu nikamsikia nyama wa tatu mwenye uhayi akisema, Njoo, none. Nikaona, na tazama, farasi mweusi, na yeye aliyempanda ana mizani mkononi mwake.

Na alipoifungua muhuri ya nne, nikasikia sauti ya nyama wa nne akisema, Njoo uone.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo