Ufunuo 3:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini. Tazama sura |