Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 3:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini.”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 3:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae nitampa kula baadhi ya ile manna iliyofiehwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina, jina asilolijua mtu illa yeye aliyepewa.


Yeye alive na sikio, na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae, nitampa kula matunda ya mti wa uzima ulio kati kati va bustani ya Mungu.


Mimi Yesu nalimtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daud, ile nyota yenye kungʼaa ya assubuhi.


Yeye aliye na sikio na asikie neno bili ambalo Roho ayaambia makanisa.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo