Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 3:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Sikiliza! Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Sikiliza! Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Sikiliza! Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 3:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

vivyo hivyo na ninyi, myaonapo haya yote, fahamuni ya kuwa yu karibu, tena milangoni.

La! kinyume cha hayo, atamwambia, Pakua chakula, nile; jifunge, unikhudumie hatta nikiisha kula na kunywa; na baada ya haya utakula na kunywa mwenyewe.

Bawabu humfungulia huyu, na kondoo humsikia sauti yake, nae huwaita kondoo zake kwa majina yao, huwapeleka nje.

Msinungʼunikiane, ndugu, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.

Akaniambia, Andika, Wa kheri walioitwa kwa karamu ya arusi ya Mwana Kondoo. Akaniambia, Maneno haya ni maneno ya kweli ya Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo