Ufunuo 3:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Bassi, kwa sababu una uvuguvugu, wala huwi baridi wala moto, nitakutema kama mate katika kinywa changu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu. Tazama sura |