Ufunuo 3:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Yeye aliye na sikio na asikie neno bili ambalo Roho ayaambia makanisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini. Tazama sura |