Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 22:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Neema ya Bwana Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi nyote. Amin.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Neema ya Bwana Isa iwe na watakatifu wote. Amen.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Neema ya Bwana Isa iwe na watakatifu wote. Amen.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 22:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu: Neema iwe kwenu na imani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwaua Yesu Kristo.


Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu kwa upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amin.


Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amin.


aliyeshuhudia Neno la Mungu na ushuhuda wa Yesu Kristo, mambo yote aliyoyaona.


Yohana kwa makanisa saba yaliyo katika Asia: Neema iwe kwenu na amani zitokazo kwake yeye alioko na aliyekuwako nii atakaekuwako: na zitokazo kwa roho saba zilizo mbele ya kiti chake cha enzi:


Tazama, naja upesi; yu kheri yeye ayashikae maneno ya unabii wa kitabu hiki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo