Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Na mataifa wa hao wanaookolewa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa inchi wataleta utukufu wao na heshima yao ndani yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:24
22 Marejeleo ya Msalaba  

illi niwe kuhani wa Yesu Kristo katika watu wa mataifa, niifanyie Injili ya Mungu kazi ya ukuhani, kusudi mataifa wawe sadaka yenye kibali, ikiisha kutakaswa na Roho Mtakatifu.

maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya watakatifu katika Yerusalemi walio maskini.

Na wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake.

Kati ya njia kuu yake na ule mto, upande huu na upande huu, mti wa uzima, uzaao matunda thenashara, mwenye kutoa matunda yake killa mwezi, na majani ya mti huo ya kuwaponya mataifa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo