Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Na milango thenashara, lulu thenashara: killa mlango ni lulu moja. Na njia ya mji dhahabu safi kama kioo kisichoizuia nuru.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Na ile milango kumi na miwili ilikuwa lulu kumi na mbili; kila mlango ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa imetengenezwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Yale malango kumi na mbili yalikuwa ni lulu kumi na mbili, kila lango lilikuwa limetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji huo ilikuwa ya dhahabu safi iliyong’aa kama kioo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Yale malango kumi na mbili yalikuwa ni lulu kumi na mbili, kila lango lilikuwa limetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji huo ilikuwa ya dhahabu safi ing’aayo kama kioo.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke yule alikuwa ameliwa nguo ya porfuro, na nyekuudu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, mwenye kikombe cha dhahabu mkononi mwake kilichojawa na machukizo na machafu ya uasharati wake,

wakisema, Ole, ole wake mji ule mkuu uliovikwa katani, na porfuro, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu na kito cha thamani na lulu;

Na yeye aliyenena nami alikuwa na mwanzi wa dhababu apate kuupima mji na milango yake na ukuta wake.

Na majenzi ya nle ukuta ya yaspi, na mji ule dhahabu safi, mfano wa kioo safi.

Kati ya njia kuu yake na ule mto, upande huu na upande huu, mti wa uzima, uzaao matunda thenashara, mwenye kutoa matunda yake killa mwezi, na majani ya mti huo ya kuwaponya mataifa.

Na mliele ya kile kiti cha enzi, mfano wa bahari ya kioo eheupe, kama krustallo, na kati kati ya kile kiti cha enzi, na pande zote za kile kiti, nyama wane, wamejaa macho mbele na nyuma.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo