Ufunuo 21:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 wa tano surdonuksi; wa sita sardio; wa saba krusolitho; wa nane berullo; wa tissa topazio; wa kumi, krusopraso; wa edashara huakintho; wa thenashara amathusto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 la tano sardoniki, la sita akiki, la saba krisolito, la nane zabarajadi, la tisa topazi, la kumi krisopraso, la kumi na moja yasintho, na la kumi na mbili amethisto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 la tano sardoniki, la sita akiki, la saba krisolito, la nane zabarajadi, la tisa topazi, la kumi krisopraso, la kumi na moja yasintho, na la kumi na mbili amethisto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 la tano sardoniki, la sita akiki, la saba krisolito, la nane zabarajadi, la tisa topazi, la kumi krisopraso, la kumi na moja yasintho, na la kumi na mbili amethisto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 wa tano sardoniki, wa sita akiki, wa saba krisolitho, wa nane zabarajadi, wa tisa yakuti manjano, wa kumi krisopraso, wa kumi na moja hiakintho, wa kumi na mbili amethisto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 wa tano sardoniki, wa sita akiki, wa saba krisolitho, wa nane zabarajadi, wa tisa yakuti manjano, wa kumi krisopraso, wa kumi na moja hiakintho, wa kumi na mbili amethisto. Tazama sura |