Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Na misingi ya ukuta wa mji imepambwa kwa killa jito la thamani. Msingi wa kwanza yaspi; wa pili sapfiro; wa tatu kalkedo; wa nne smaragdo;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Misingi ya kuta za mji huo zilipambwa kwa kila aina ya kito cha thamani. Msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili yakuti samawi, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Misingi ya kuta za mji huo zilipambwa kwa kila aina ya kito cha thamani. Msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili yakuti samawi, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi safi, kama bilauri:

na yeye aliyeketi alikuwa mithili ya jiwe la yaspi na sardio, na upinde wa mvua nlikizunguka kiti kile cha enzi, mithili ya zumaridi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo