Ufunuo 21:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na majenzi ya nle ukuta ya yaspi, na mji ule dhahabu safi, mfano wa kioo safi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ukuta huo ulikuwa umejengwa kwa mawe mekundu ya thamani, na mji wenyewe ulikuwa umejengwa kwa dhahabu safi, angavu kama kioo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ukuta huo ulijengwa kwa yaspi hali mji wenyewe ulijengwa kwa dhahabu safi, iking’aa kama kioo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ukuta huo ulijengwa kwa yaspi hali mji wenyewe ulijengwa kwa dhahabu safi, iking’aa kama kioo. Tazama sura |