Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 21:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Akaupima ukuta wake, ni dhiraa misi na arubaini na nne, kwa kipimo cha mwana Adamu, maana yake, cha malaika,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa mia moja na arobaini na nne (144) kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa 144 kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 21:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo udipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya nyama huyo: maana ni hesabu ya mwana Adamu; na hesabu yake ni Sita mia, sittini na sita.


nao waimba wimbo niliouona kuwa mpya mbele ya kili cha enzi, na mbele ya wale nyama wane wenye uhayi, na wale wazee; na hapana mtu aliyeweza kujifunza uimbo ule illa wale mia na arubaini na nne elfu walionunuliwa katika inchi.


Na ule mji ni wa mrabba, na marefu yake sawa sawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi, hatta stadio thenashara elfu. Marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake mamoja.


Akaja mmoja wa wale malaika saba walio na vichupa vile saba vijaavyo yale mapigo saba ya mwisho, akanena nami, akisema, Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi arusi, mke wa Mwana kondoo.


Nikasikia hesabu yao waliotiwa muhuri katika killa kabila ya wana wa Israeli, watu mia na arubaini na nne elfu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo