Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Na yeye aliyenena nami alikuwa na mwanzi wa dhababu apate kuupima mji na milango yake na ukuta wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Basi, yule malaika aliyekuwa anasema nami alikuwa na kijiti cha dhahabu cha kupimia, kwa ajili ya kuupima huo mji, milango yake na kuta zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Basi, yule malaika aliyekuwa anasema nami alikuwa na kijiti cha dhahabu cha kupimia, kwa ajili ya kuupima huo mji, milango yake na kuta zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Basi, yule malaika aliyekuwa anasema nami alikuwa na kijiti cha dhahabu cha kupimia, kwa ajili ya kuupima huo mji, milango yake na kuta zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Huyo malaika aliyesema nami alikuwa na ufito wa dhahabu wa kupimia huo mji, malango yake na kuta zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Huyo malaika aliyesema nami alikuwa na ufito wa dhahabu wa kupimia huo mji, malango yake na kuta zake.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

ulikuwa ua ukuta mkubwa, mrefu, wenye milango thenashara, na katika ile milango malaika thenashara, na majina yameandikwa ambayo ni majina ya kabila thenashara za wana wa Israeli.

Na ule mji ni wa mrabba, na marefu yake sawa sawa na mapana yake. Akaupima mji kwa ule mwanzi, hatta stadio thenashara elfu. Marefu yake na mapana yake na kwenda juu kwake mamoja.

Na milango thenashara, lulu thenashara: killa mlango ni lulu moja. Na njia ya mji dhahabu safi kama kioo kisichoizuia nuru.

Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo