Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Upande wa mashariki milango mitatu: na upande wa kaskazini milango mitatu; na upande wa kusini milango mitatu: na upande wa magharibi milango mitatu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kila upande ulikuwa na milango mitatu: Upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kila upande ulikuwa na milango mitatu: Upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kila upande ulikuwa na milango mitatu: upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:13
3 Marejeleo ya Msalaba  

ulikuwa ua ukuta mkubwa, mrefu, wenye milango thenashara, na katika ile milango malaika thenashara, na majina yameandikwa ambayo ni majina ya kabila thenashara za wana wa Israeli.

Na ukuta wa mji una misingi thenashara, na katika ile misingi majina theriashara ya mitume wa Mwana kondoo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo