Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 21:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi safi, kama bilauri:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ulikuwa uking’aa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ulikuwa uking’aa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 21:11
17 Marejeleo ya Msalaba  

Hekalu ikajazwa moshi uliotoka kwa utukufu wa Mungu na uweza wake. Na hapakuwa na mtu aliyeweza kuingia ndani ya hekalu hatta yatakapotimizwa mapigo saba ya wale malaika saba.

AKANIONYESHA mto wa maji ya uzima, wenye kungʼaa kama bilauri, ukitoka katika kiti cha enzi cha Mungu, na cha Mwana kondoo.

Wala hapatakuwa usiku huko; wala hawana haja ya taa wala ya nuru ya jua; kwa kuwa Bwana Mungu awatia nuru, nao watamiliki milele hatta milele.

na yeye aliyeketi alikuwa mithili ya jiwe la yaspi na sardio, na upinde wa mvua nlikizunguka kiti kile cha enzi, mithili ya zumaridi.

Na mliele ya kile kiti cha enzi, mfano wa bahari ya kioo eheupe, kama krustallo, na kati kati ya kile kiti cha enzi, na pande zote za kile kiti, nyama wane, wamejaa macho mbele na nyuma.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo