Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 20:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Wakapanda juu ya upana wa inchi, wakazinga kituo chta watakatifu, na mji uliopendwa. Moto ukashuka katika mbingu kutoka kwa Mungu, ukawala.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Walipita katika nchi yote, wakaizunguka kambi ya watakatifu na mji wa Mungu aupendao. Lakini moto ulishuka kutoka mbinguni, ukawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Walipita katika nchi yote, wakaizunguka kambi ya watakatifu na mji wa Mungu aupendao. Lakini moto ulishuka kutoka mbinguni, ukawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Walipita katika nchi yote, wakaizunguka kambi ya watakatifu na mji wa Mungu aupendao. Lakini moto ulishuka kutoka mbinguni, ukawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Nao walitembea katika eneo lote la dunia, wakaizunguka kambi ya watakatifu na ule mji unaopendwa. Lakini moto ukashuka kutoka mbinguni na kuwateketeza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Nao walitembea katika eneo lote la dunia, wakaizunguka kambi ya watakatifu na ule mji unaopendwa. Lakini moto ukashuka kutoka mbinguni na kuwateketeza.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 20:9
33 Marejeleo ya Msalaba  

hatta siku ile amhayo Lut alitoka Sodom, kukanya moto na kiberiti kutoka mbinguni, vikawaangamiza wote.

Kwa maana siku zitakujilia, adui zako watakapokujengea boma; watakuzunguka, watakudhiikisha pande zote;

Lakini, mtakapoona Yerusalemi unazungukwa na majeshi, ndipo jueni ya kuwa uharibifu wake umekaribia.

Wanafunzi wake Yokobo na Yohana walipoona haya, wakasema, Bwana, wataka tuambie moto ushuke kutoka mbinguni uwaangamize, kama na Eliya alivyofanya?

katika mwako wa moto, akiwalipa kisasi wao wasiomjua Mungu, nao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo;

Bassi na twende kwake nje ya kituo, tukichukua laumu lake.

Na mtu akitaka kuwadhuru, moto hutoka katika vinywa vyao na kuwala adui zao. Na mtu akitaka kuwadhuru, hivyo ndivyo impasavyo kuuawa.

Nae afanya ishara kubwa, hatta afanye moto kushunka kutoka mbinguni juu ya inchi mbele ya wana Adamu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo