Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 20:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Na ile miaka elfu itakapokwisha, Shetani atafunguliwa atoke kifungoni mwake:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Wakati miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hiyo miaka elfu itakapotimia, Shetani atafunguliwa atoke kifungoni mwake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Hiyo miaka 1,000 itakapotimia, Shetani atafunguliwa kutoka kifungoni mwake,

Tazama sura Nakili




Ufunuo 20:7
2 Marejeleo ya Msalaba  

Akamshika joka, yule nyoka wa zamani, aliye msingiziaji, Shetani, akamfunga miaka elfu,


Wale malaika wane wakafunguliwa, waliowekwa tayari kwa ile saa na siku na mwezi na mwaka illi waue thuluth ya wana Adamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo