Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 20:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Na wafu waliosalia hawakuwa hayi, hatta ikatimia ile miaka elfu. Huo ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 (Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 (Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 (Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 (Wafu waliosalia hawakufufuka hadi ilipotimia hiyo miaka elfu.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 (Wafu waliosalia hawakufufuka mpaka ilipotimia hiyo miaka 1,000.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 20:5
9 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu hawana kitu cha kukulipa; maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.


Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhayi baada ya kufa?


illi nipate kwa njia yo yote kuifikia kiyama ya wafu.


Kwasababu Bwana mwenyewe atasbuka kutoka mbinguni na sauti kuu na sauti ya malaika mkuu, na panda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo, watafufuliwa kwanza;


Na baada ya siku tatu u nussu roho ya uhayi itokayo kwa Mungu ikawaingia, wakasimama, khofu kuu ikawaangukia watu waliowatazama.


Malaika wa saha akapiga baragumu, pakawa sauti kuu katika mbingu, zikisema, Falme za dunia zimekwisha kuwa ufalme na Mungu na wa Kristo wake, nae atamiliki hatta milele na milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo