Ufunuo 2:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Lakmi unalo neno hili kwamba wayachukia matendo ya Wanikolaiti, niyachukiayo na mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: Wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: Wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia. Tazama sura |