Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 2:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Lakini nina neno jun yako, kwa sababu umeacha npendo wako wa kwanza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: Wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: Wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 “Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 2:4
11 Marejeleo ya Msalaba  

Marra wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao.


Na hii ndiyo sala yangu, pendo lenu lizidi kuwa jingi sana, katika hekima na ufahamu wote;


Imetupasa kumshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu, ndugu, kama ilivyo wajib, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa killa mtu kwenu kwa wenzake umekuwa mwingi.


Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaam, yeye aliyemfundisha Balak atie ukwazo mbele ya wana wa Israeli, wavile vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu, na kuzini.


Lakini nina maneno machache juu yako, ya kwamba wamwacha yule mwanamke Yezebel, yeye ajiitae nabii, nae awafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, illi wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo