Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 2:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 “Aliye na masikio, basi, na ayasikie yale Roho anayoyaambia makanisa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 2:29
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Yeye alive na sikio, na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae, nitampa kula matunda ya mti wa uzima ulio kati kati va bustani ya Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo