Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 2:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Nami nitampa nyota ya assubuhi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 2:28
5 Marejeleo ya Msalaba  

Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ingʼaayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya assubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Wapenzi, sasa tu wana wti Mungu, wala haijadhihirika bado tutakidokuwa: lakini twajua ya kuwa akidhihiri, tutafanana nae; kwa maana tutamwona kama alivyo.

Mimi Yesu nalimtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daud, ile nyota yenye kungʼaa ya assubuhi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo