Ufunuo 2:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 nae atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyangi visetwavyo, kama mimi nilivyopokea kwa Baba yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 “ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu. Tazama sura |