Ufunuo 2:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolaiti, niyachukiayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Vivyo hivyo unao wale wanaoyashikilia mafundisho ya Wanikolai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Vivyo hivyo unao wale wayashikayo mafundisho ya Wanikolai. Tazama sura |