Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Na kwa malaika wa kanisa lililo katika Pergamo, andika; Haya ayanena yeye aliye na upanga mkali, mkali kuwili;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 “Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 “Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 “Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Pergamo, andika: Haya ndio maneno yake yeye aliye na upanga mkali wenye makali kuwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 “Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Pergamo, andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye na upanga mkali wenye makali kuwili.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 2:12
10 Marejeleo ya Msalaba  

Maana Neno la Mungu li hayi, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko ukali wa upanga ukatao kuwili, tena lachoma kiasi cha kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.


ikinena, Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho. Haya uonayo yaandike katika chuo, ukayapeleke kwa makanisa saba yaliyo katika Asia; Efeso, na Smurna, na Pergamo, na Thuatera, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.


Nae alikuwa na nyota saba katika mkono wake wa kuume: na upanga mkali, mkali kuwili, watoka katika kinywa chake; na uso wake kama jua likingʼaa kwa nguvu zake.


Na upanga mkali hutoka kinywani mwake awapige mataifa kwa huo. Nae atawachunga kwa fimbo ya chuma, nae anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ukali wa ghadhabu ya Mungu Mwenyiezi.


na wale waliosalia waliuawa kwa upanga wake yeye aliyeketi juu ya farasi yule, utokao katika kinywa chake. Na ndege wote wakashiba kwa nyama zao.


KWA malaika wa kanisa lililo katika Efeso andika; Haya ayanena yeye azishikae nyota saba katika mkono wake wa kuume, aendae kati kati ya vile vinara saba vya dhahabu.


Tubu; na usipotubu naja kwako upesi, nitafanya vita juu yako kwa upanga wa kinywa changu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo