Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 2:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 “Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi hataumizwa na kifo cha pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 “Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi hataumizwa na kifo cha pili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 “Aliye na masikio, basi, na asikie yale Roho anayoyaambia makanisa! “Mshindi hataumizwa na kifo cha pili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho wa Mungu ayaambia makundi ya waumini. Yeye ashindaye hatadhuriwa kamwe na mauti ya pili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Yeye aliye na sikio na asikie yale ambayo Roho ayaambia makundi ya waumini. Yeye ashindaye hatadhuriwa kamwe na mauti ya pili.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 2:11
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


Akanena, Aliye na masikio ya kusikilia, na asikie.


Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.


Nyingine zikaanguka penye udongo mwema, zikamea, zikazaa mia mia. Alipokuwa akinena haya, akapaaza sauti yake, akisema, Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


Mtu akiwa na sikio na asikie.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae nitampa kula baadhi ya ile manna iliyofiehwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina, jina asilolijua mtu illa yeye aliyepewa.


Yeye alive na sikio, na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae, nitampa kula matunda ya mti wa uzima ulio kati kati va bustani ya Mungu.


Mauti na Kuzimu wakatupwa katika lile ziwa la moto. Hii ndio mauti ya pili.


Yu kheri, mtakatifu, aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza; juu ya hao mauti ya pili haina nguvu; bali watakuwa makuhani wa Mungu na wa Kristo, nao watamiliki pamoja nae miaka elfu.


Yeye ashindae atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, nae atakuwa Mwana wangu.


Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, nae waabuduo sanamu, na wawongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndio mauti ya pili.


Yeye ashindae, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu, na jina la mji wa Mungu wangu, Yerusalemi ulio mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu, na jina langu mwenyewe, lile jipya.


Yeye aliye na sikio na asikie neno bili ambalo Roho ayaambia makanisa.


Yeye ashindae atavikwa mavazi meupe, wala sitalifuta jina lake katika kitabu cha uzima, nami nitaliungama jina lake mbele za Baba yaugu, na mbele ya malaika zake.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo