Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 19:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Wakasema marra ya pili, Halleluya. Na moshi wake hupaa juu hatta milele na milele,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Wakasema tena kwa sauti kuu: “Haleluya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Wakasema tena kwa nguvu: “Haleluya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 19:3
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kama vile bodoma na Gomora, na miji iliyozunguka, waliofuata uasharati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wamepasiwa hukumu yamoto wa milele.


Na moshi wa maumivu yao wapanda juu hatta milele na milele, nao bawana raha mchana na usiku, bao wamsujuduo nyama na sanamu yake, na killa aipokeae alama ya jina lake.


wakalia sana, walipouona moshi wa kuungua kwake, wakisema, Ni mji upi ulio mfano wa mji huu mkubwa!


Na wafalme wa inchii waliozini nae na kufanya anasa pamoja nae, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuumgua kwake,


BAADA ya baya nikasikia sauti ya makutano mengi, sauti kubwa katika mbingu, ikisema, Halleluya; Wokofu na utukufu na nguvu zina Bwana Mungu wetu;


Na wale wazee ishirini na wane, na wale nyama wane wenye uhayi wakasujudu na kumwabudu Mungu aketiye katika kiti cha enzi, wakisema, Amin, Halleluya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo