Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 19:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 na wale waliosalia waliuawa kwa upanga wake yeye aliyeketi juu ya farasi yule, utokao katika kinywa chake. Na ndege wote wakashiba kwa nyama zao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Majeshi yao yaliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule anayepanda farasi. Ndege wote wakajishibisha kwa nyama zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Majeshi yao yaliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule anayepanda farasi. Ndege wote wakajishibisha kwa nyama zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Majeshi yao yaliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule anayepanda farasi. Ndege wote wakajishibisha kwa nyama zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wale waliosalia waliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule aliyekuwa amempanda farasi nao ndege wote wakajishibisha kwa nyama yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wale waliosalia waliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule aliyekuwa amempanda farasi nao ndege wote wakajishibisha kwa nyama yao.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 19:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nae alikuwa na nyota saba katika mkono wake wa kuume: na upanga mkali, mkali kuwili, watoka katika kinywa chake; na uso wake kama jua likingʼaa kwa nguvu zake.

Na zile pembe kumi ulizoziona juu ya nyama, hao watamchukia yule kahaba, na watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kahisa kwa moto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo