Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 19:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Nikaona malaika mmoja amesimama katika jua, akilia kwa sauti kuu, akiwaambia ndege wote warukao kati kati ya mbingu, Njoni mkutane kwa karamu ya Mungu iliyo kuu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kisha, nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, “Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kisha, nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, “Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kisha, nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, “Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Nami nikamwona malaika amesimama ndani kwenye jua, naye akaita ndege wote warukao angani kwa sauti kuu, “Njooni, kusanyikeni kwa ajili ya karamu kubwa ya Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Nami nikamwona malaika amesimama ndani kwenye jua, akaita ndege wote warukao angani kwa sauti kuu, “Njooni, kusanyikeni kwa ajili ya karamu kubwa ya Mungu,

Tazama sura Nakili

Ufunuo 19:17
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nikaona malaika niwingine akiruka kati kati ya mbingu, mwenye injili ya milele, awakhubiri wakaao juu ya inchi na killa taifa na kabila na lugha na jamaa,

na wale waliosalia waliuawa kwa upanga wake yeye aliyeketi juu ya farasi yule, utokao katika kinywa chake. Na ndege wote wakashiba kwa nyama zao.

Nikaona, nikasikia tai akiruka kati kati ya mbingu, akisema kwa sauti kuu, Ole, ole, ole wao wakaao juu ya inchi, kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu ya malaika watatu, walio tayari kupiga.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo