Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 19:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nae ana jina limeandikwa katika vazi lake mi paja vake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili: Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili: mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 19:16
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambieni. Kadiri mlivyomtendea mmojawapo katika hawo ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.


ambako katika nyakati zake mwenyewe ataonyesha yeye mwenye uweza wote, Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana,


na zitokazo kwa Yesu Kristo, shahidi alive mwaminifu, mzaliwa wa kwanza wa waliokufa, na mkuu wa wafalme wa dunia. Kwake yeye aliyetupeuda na kutuosha dhambi zetu kwa damu yake,


Hawa watafanya vita na Mwana kondoo, na Mwana kondoo atawashinda, kwa maana ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme; nao walioitwa wateule, waaminifu, watashinda pamoja nae.


Yeye aliye na sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindae nitampa kula baadhi ya ile manna iliyofiehwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina, jina asilolijua mtu illa yeye aliyepewa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo