Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 19:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Nae amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na, jina lake, aitwa, Neno la Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Amevaa joho lililoloweshwa katika damu, na Jina lake ni Neno la Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Amevaa joho lililochoviwa katika damu, na Jina lake ni “Neno la Mungu.”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 19:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

MWANZO alikuwako Neno, nae Neno alikuwako kwa Mungu, nae Neno alikuwa Mungu.


Nae Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu, tukautazama utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee akitoka kwa Baba, amejaa neema na kweli.


ILIYOKUWA tangu mwanzo, tuliyoisikia, tuliyoiona kwa macho yetu, tuliyoitazama, na mikono yetu ikaipapasa, kwa khabari ya Neno la uzima,


Kwa maana watatu ni mashahidi mbinguni, Baba, Neno, na Robo Mtakatifu, ua watatu hawa ni umoja.


Shinikizo lile likakanyagwa nje ya mji, damu ikatoka katika shinikizo mpaka khatamu za farasi, mwendo wa mastadio elfu na sita mia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo