Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 19:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BAADA ya baya nikasikia sauti ya makutano mengi, sauti kubwa katika mbingu, ikisema, Halleluya; Wokofu na utukufu na nguvu zina Bwana Mungu wetu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya hayo nikasikia kitu kama sauti kubwa ya umati wa watu wengi mbinguni ikisema, “Asifiwe Mungu! Ukombozi, utukufu na nguvu ni mali yake Mungu wetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya hayo nikasikia kitu kama sauti kubwa ya umati wa watu wengi mbinguni ikisema, “Asifiwe Mungu! Ukombozi, utukufu na nguvu ni mali yake Mungu wetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya hayo nikasikia kitu kama sauti kubwa ya umati wa watu wengi mbinguni ikisema, “Asifiwe Mungu! Ukombozi, utukufu na nguvu ni mali yake Mungu wetu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Baada ya haya nikasikia sauti kama ya umati mkubwa mbinguni wakipaza sauti na kusema: “Haleluya! Wokovu na utukufu na uweza ni vya Mungu wetu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Baada ya haya nikasikia sauti kama ya umati mkubwa mbinguni wakipiga kelele wakisema: “Haleluya! Wokovu na utukufu na uweza ni vya Mungu wetu,

Tazama sura Nakili

Ufunuo 19:1
23 Marejeleo ya Msalaba  

Usitutie majaribuni, bali utuokoe na yule mwovu.

Malaika wa saha akapiga baragumu, pakawa sauti kuu katika mbingu, zikisema, Falme za dunia zimekwisha kuwa ufalme na Mungu na wa Kristo wake, nae atamiliki hatta milele na milele.

Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikinena, Sasa kumekuwa wokofu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake: kwa maana ametupwa mshitaki wa ndugu zetu, awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchaua na nsiku.

Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Halleluya; kwa kuwa Bwana Mungu Mwenyiezi amemiliki.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo