Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 18:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Na wafalme wa inchii waliozini nae na kufanya anasa pamoja nae, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuumgua kwake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “Wafalme wa dunia waliozini naye na kushiriki anasa zake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watamlilia na kumwombolezea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “Wafalme wa dunia waliozini naye na kushiriki anasa zake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watamlilia na kumwombolezea.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 18:9
24 Marejeleo ya Msalaba  

Bali wajane walio vijana nkatae kuwaandika, maana wakiona tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa,

Na moshi wa maumivu yao wapanda juu hatta milele na milele, nao bawana raha mchana na usiku, bao wamsujuduo nyama na sanamu yake, na killa aipokeae alama ya jina lake.

ambae wafaime wa inchi walizini nae, nao wakaao katika inchi wakalevywa kwa mvinyo ya uasharati wake.

wakalia sana, walipouona moshi wa kuungua kwake, wakisema, Ni mji upi ulio mfano wa mji huu mkubwa!

Furahini juu yake, enyi mbingu, na ninyi watakatifu na mitume na manabii, kwa maana Mungu amehukumu hukumu yenu juu yake.

kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasharati wake, na wafalme wa inchi wamezini nae, na matajiri ya inchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.

Kwa kadiri aliyojitukuza na kufanya anasa, mpeni maumivu na huzuni kadiri hiyo hiyo. Kwa kuwa alisema moyoni mwake, Nimeketi malkiya, nami si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.

Wakasema marra ya pili, Halleluya. Na moshi wake hupaa juu hatta milele na milele,

Tazama, nitumtupa juu ya kitanda, na hawo wazinio pamoja nae, wapate mateso makubwa wasipotubu matendo yao;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo