Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 18:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, manti, na huzuni, na njaa, nae atateketezwa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni hodari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata kwa siku moja: Ugonjwa, huzuni na njaa. Atachomwa moto, maana Bwana Mungu mwenye kumhukumu ana nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata kwa siku moja: Ugonjwa, huzuni na njaa. Atachomwa moto, maana Bwana Mungu mwenye kumhukumu ana nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata kwa siku moja: ugonjwa, huzuni na njaa. Atachomwa moto, maana Bwana Mungu mwenye kumhukumu ana nguvu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa hiyo mapigo yatampata kwa siku moja: mauti, maombolezo na njaa. Naye atateketezwa kwa moto, kwa maana Mwenyezi Mungu amhukumuye ana nguvu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa hiyo mapigo yatampata kwa siku moja: mauti, maombolezo na njaa. Naye atateketezwa kwa moto, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu amhukumuye ana nguvu.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 18:8
18 Marejeleo ya Msalaba  

Au twamtia Bwana wivu? au tuna nguvu zaidi ya yeye?


wakisema, Tunakushukuru, Bwana Mungu Mwenyiezi, ulioko, na nliyekuwako, kwa sababu umetwaa uweza wako ulio mkuu, ukamiliki.


Na zile pembe kumi ulizoziona juu ya nyama, hao watamchukia yule kahaba, na watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kahisa kwa moto.


Na yule mwanamke uliyemwona, ndiye mji ule mkubwa, mwenye ufalme juu ya wafalme wa inchi.


kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na killa mshika msukani na killa aendae mahali kwa matanga, mi baharia, nao wote watendao kazi baharini wakasimama mbali,


Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitoka machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole wake mji ule ulio mkuu, ambao ndani yake wote wenye merikebu katika bahari walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.


Wakasema marra ya pili, Halleluya. Na moshi wake hupaa juu hatta milele na milele,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo