Ufunuo 18:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mardufu kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikomhe kile alichokichanganisha, mchanganishieni mardufu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mtendeeni kama alivyowatendea nyinyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda. Mchanganyieni kikombeni mwake kinywaji kikali maradufu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mtendee kama yeye alivyotenda; umlipe mara mbili kwa ajili ya yale aliyotenda. Katika kikombe chake mchanganyie mara mbili ya kile alichochanganya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mtendee kama yeye alivyotenda; umlipe mara mbili kwa ajili ya yale aliyotenda. Katika kikombe chake mchanganyie mara mbili ya kile alichochanganya. Tazama sura |