Ufunuo 18:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Kwa maana dhambi zake zimefika hatta mbinguni, na Mungu amekumhuka dhuluma zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 kwa kuwa dhambi zake zimefika hadi mbinguni, naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 kwa kuwa dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni, naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake. Tazama sura |