Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 18:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, “Watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, “Watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, “Watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: “ ‘Tokeni katikati yake, enyi watu wangu,’ ili msije mkashiriki dhambi zake, ili msije mkapatwa na pigo lake lolote;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, ili msije mkashiriki dhambi zake, ili msije mkapatwa na pigo lake lolote;

Tazama sura Nakili

Ufunuo 18:4
16 Marejeleo ya Msalaba  

na kunena, Kama sisi tungalikuwako zamani za haha zetu, hatungalishirikiana nao katika damu ya manabii.

Kwa hiyo Tokeni kati yao, mkatengwe nao, asema Bwana, Wala msiguse kitu kilicho kichafu.

Usimwekee mtu mikono kwa haraka, wala usishiriki dhambi za watu wengine.

Maana ampae salamu azishirika kazi zake mbovu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo