Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 18:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Na ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na ya wale wote waliouawa juu ya inchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu, na wote waliouawa duniani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na wote waliouawa duniani.”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 18:24
16 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa yamepambwa, bali kwa ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote.


illi iwajieni damu yote ya haki iliyomwagika katika inchi, tangu damu ya Habil, yule mwenye haki, hatta damu ya Zakaria, mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhbahu,


Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;


waliomwua Bwana Yesu na manabii wao wenyewe na kutuudhi sisi, wala hawampendezi Mungu, wala hawapatani na watu wo wote;


Hatta watakapoumaliza ushuhuda wao yule nyama atokae katika abuso atafanya vifa nao, nae atawashinda na kuwaua.


kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu na manabii, nawe umewapa damu, wainywe; nao wamestahili.


Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.


kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na za haki: maana amemhukumu yule kahabu mkuu aliyeiharibu inchi kwa uasharati wake, na kumpatiliza kwa ajili va damu ya watumwa wake mkononi mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo